Decorations


DECORATION DEPARTMENT - OUR PACKAGES/SERVICES :

1. KITCHEN PARTY - FUNDO LA ASILI ( in Swahili language):


- Kupamba ukumbi wote - kienyeji, viti na meza zote

- Kupamba gari la maharusi watarajiwa (bibie na msimamizi wake)

- Kupamba Meza kuu na zote ukumbini pamoja na champaigne moja(deluxe)

- Vitendea kazi katika shughuli hiyo ( Vifunda bi. harusi mtarajiwa)

- Kuandaa zawadi kwa wanakamati wa kitchen party na wahusika

- Master of Ceremony - MC - ( a.k.a - mshereheshaji - mama fundo/kungwi)

NOTE : Visivyohusika :Music,upambaji wa maharusi mtarajiwa & wapambe wao.n.k.


2. BAG PARTY

- Kupamba ukumbi kiasili, meza na viti vyote

- Kutengeneza nembo za wanakamati

- Champaigne - 2 za deluxe level kwa ajili ya high table

- Kupamba gari/magari za wahusika wakuu

- Kuandaa vitendea kazi vyote husika katika tukio (vifaa vya kufundia/kufundishia)

- Kuandaa zawadi kwa mhusika na mpambe/wapambe wake

- Master of Ceremony - MC - ( a.k.a - mshereheshaji )

NOTE : Visivyohusika :Music,upambaji wa maharusi mtarajiwa,wapambe wao.n.k.


3. BIRTHDAY PARTY - KUMBUKUMBU YA SIKU YA KUZALIWA

 
 
- Kupamba ukumbi kwa style ya kisasa,viti na meza

- Kupamba fresh flowers/maua ya asili katika meza kuu( high table)

- Kuandaa champagne kwa ajili ya meza kuu(high table)

- Kupamba gari ya mwana/wana- birthday

- Kutengeneza cake ya birthday

- Kuandaa champaign -2 kwa ajili ya high table

- Master of Ceremony - MC - ( a.k.a - mshereheshaji )

NOTE : Visivyohusika :Music,upambaji wa maharusi mtarajiwa,wapambe wao.n.k.


4. SEND OFF RECEPTION PARTY
- Kupamba ukumbi kwa ujumla - kiasili/kisasa zaidi,viti na meza zote

- Kundaa cake ya ngazi tatu

- Kupamba fresh flowers katika gari la wahusika,meza kuu/high table na meza zote

- Kuandaa champaigne -2 kwa ajili ya meza kuu

- Kutengeneza nembo ya wanakamati.

- Master of Ceremony - MC - ( a.k.a - mshereheshaji )

NOTE : Visivyohusika :Music,upambaji wa maharusi mtarajiwa,wapambe wao.n.k.


5. WEDDING MARRIAGE FUNCTION PARTY



- Kupamba ukumbi kwa ujumla,meza kuu/high table kwa kutumia fresh flowers

- Kuandaa cake ya ngazi tatu na champaigne ya deluxe level

- Kufunika meza,viti na meza zote za ukumbini

- Kufunga taa maalum ukumbi kwa ajili ya bibi na bwana harusi.

- Master of Ceremony - MC - ( a.k.a - mshereheshaji )

NOTE : Visivyohusika :Music,upambaji wa maharusi mtarajiwa,wapambe wao.n.k.


6. CONFERENCE & MEETING -“Your business on the way
We are at  Decorations department  services offers you conference facilities with a  new technology facilities with a fabulous choice of success a small or large conference offering all the requirements of today’s busy executive including a fully day or half day packages available on request.


Art audio visual equipments and translation multilingual conference that includes product launches and exhibitions. With full AV equipments is on hand to sustain delegates requirements.
Also we arrange ample accommodation to house delegates and order wide a variety of activities and facilitate to spice up the conferencing experience. We have much to offer in terms of classy conferencing. Its tranquil setting helps to ease the mind and add to productivity. We have professionalism team and experience coordinators who take pride in assisting clients to make their conference, meeting, events and lunch as hassle free as possible.

Our standard services we offers:-

Ø Data projector (slide.LCD Projectors, Overhead projector and screen)

Ø Television show or DVD

Ø PA system with lapel or handheld microphones

Ø Fine point pen

Ø Laser point

Ø Retractable white projector screen

Ø Flip chart (one per room, more at an additional charge)

Ø Mineral water– 500ml

Ø Sweet/mints (wrapped)

Ø Lectern

Ø A5 note pad

Ø White board with eraser, black,green,blue,red or white board makers

Ø Video and monitor
 
OUR VENUE IN MEETING, CONCERENCING, EVENTS OR LAUNCH

SITTING ARRANGEMENT:

( i ) Schoolroom- 20 - 200 delegates

( ii ) Banquet - 30 -100 delegates

(iii) U – shape - 50 -200 delegates

(iv) Theatre/Cinema– 70 - 500 delegates


Enjoy the possibility of combining services from Professionalism team”

No comments:

Post a Comment